Soko la kuni kwa wadau wa Mwanza au Shinyanga naomba connection ya soko la kuni hasa viwandani

Soko la kuni kwa wadau wa Mwanza au Shinyanga naomba connection ya soko la kuni hasa viwandani

DM MOWO

Senior Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
135
Reaction score
95
Heshima kwenu wadau wa JF, naomba mwenyewe connection ya kuni viwandani maana nimepata mahali pa kupata mzigo kutoka Sengerema ila sina pa kuziuza. Pia Nina uwezo wa kupata mabanzi na mbao reject.

Wadau naomba tushikane mkono katika harakati za kujiajiri. Namba zangu za simu ni 0714263983
 
Na wenye shule na vyuo pia kama wanatumia kuni mnakaribishwa.
 
fanya legworks,kutembelea mashule ya boarding
 
Back
Top Bottom