Heshima kwenu wadau wa JF, naomba mwenyewe connection ya kuni viwandani maana nimepata mahali pa kupata mzigo kutoka Sengerema ila sina pa kuziuza. Pia Nina uwezo wa kupata mabanzi na mbao reject.
Wadau naomba tushikane mkono katika harakati za kujiajiri. Namba zangu za simu ni 0714263983