A
Anonymous
Guest
Soko hili linakadiliwa kujengwa kwa zaidi ya Milioni 500Tsh. Lina muda sasa vibanda vyake havifanyi kazi iliyokusudiwa kutokana na kuwa na miundombinu isiyo rafiki kwa ufanyaji biashara, hivyo kulazimu machinga kuweka biashara zao nje ya soko.
Mamlaka zifanye marekebisho na uboreshwaji wa soko.
Mamlaka zifanye marekebisho na uboreshwaji wa soko.