soko la mafuta alizeti

soko la mafuta alizeti

Mtam

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
21
Reaction score
2
Habari
Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta
Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie.
 
Weka mawasiliano kwani biashara ungeshamaliza! Ama ni dalali nini?

Habari
Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta
Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie.
 
Haya mafuta yana soko kubwa sana huko kwa Waarabu tatizo ni Quantity, na wabongo kwa kuchakachua wanaweza Changanaya hadi Maji,
 
Back
Top Bottom