M Mtam Member Joined Sep 25, 2012 Posts 21 Reaction score 2 Mar 23, 2013 #1 Habari Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie.
Habari Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,483 Reaction score 3,369 Mar 25, 2013 #3 Weka mawasiliano kwani biashara ungeshamaliza! Ama ni dalali nini? Mtam said: Habari Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie. Click to expand...
Weka mawasiliano kwani biashara ungeshamaliza! Ama ni dalali nini? Mtam said: Habari Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie. Click to expand...
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Mar 29, 2013 #4 ni pm,unayo kiasi gani?
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Mar 29, 2013 #5 Haya mafuta yana soko kubwa sana huko kwa Waarabu tatizo ni Quantity, na wabongo kwa kuchakachua wanaweza Changanaya hadi Maji,
Haya mafuta yana soko kubwa sana huko kwa Waarabu tatizo ni Quantity, na wabongo kwa kuchakachua wanaweza Changanaya hadi Maji,