Soko la mafuta ya alizeti

Soko la mafuta ya alizeti

Sasa si ungeweka hata namba yako mbona unatangaza biashara halafu haupo serious, weka mawasiliano yako, bei zako, uwezo wako wa kuzalisha ni litre ngapi kwa week/mwezi, c&f ya bei toka unapozalishia mpaka moshi na dar ni kiasi gani, fob yako ni ngapi na upo wapi
 
u are not serious
uliona wap biashara ambayo haina address
weka mawasiliano binafs nahitaj hayo mafuta but cjui bei yako n uwezo wako wa kuzalisha

0719213427 nichek nipo Tanga
 
Back
Top Bottom