Sasa si ungeweka hata namba yako mbona unatangaza biashara halafu haupo serious, weka mawasiliano yako, bei zako, uwezo wako wa kuzalisha ni litre ngapi kwa week/mwezi, c&f ya bei toka unapozalishia mpaka moshi na dar ni kiasi gani, fob yako ni ngapi na upo wapi