Soko la maharage

Libent Boniphace

New Member
Joined
May 1, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Wapendwa nina maharage ambayo yamechambuliwa vizuri na kukaushwa vizuri aina ya njano, soya, meupe makubwa, meupe madogo, na mengineyo mengi naomba mnisaidie soko la kuuza maarage yangu nina tani 10
 
Wapendwa nina maharage ambayo yamechambuliwa vizuri na kukaushwa vizuri aina ya njano, soya, meupe makubwa, meupe madogo, na mengineyo mengi naomba mnisaidie soko la kuuza maarage yangu nina tani 10
Upo wapi? Na bei kwa kilo ni shilingi ngapi? Share details zaidi
 
Wakuu nina maharage ya njano na mekundu kwa mwenye uhitaji nichek 0652299160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…