Hizo biashara za style hiyo, Zina kila dalili ya Usanii.
asante kwa ushauri ila jua bei za mahindi zinabadirika kila leo kaka ndio maana nilishindwa kuweka. specif price hapoHizo biashara za style hiyo, Zina kila dalili ya Usanii.
Weka vitu wazi watu wahamasike.
Mwenye shida ni wewe, na sio wanunuzi.
Jitahidi usimfanye mteja wako aumize kichwa sana kuhusu bidhaa yako,
Wafanye wateja wako waone kufanya biashara na wewe ni STAREHE KAMA STAREHE ZINGINE.
Ni ushaur tu
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa ushauriBiashara ya sasa hivi wewe uza cash hapo ulipo , usipeleke popote mkuu ni risk kubwa hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app