Soko la Mahindi

Soko la Mahindi

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Wakubwa,
Nina mahindi tani kadhaa za kuvuna msimu huu. Niko mkoa wa pwani. Naomba kujua soko zuri liko wapi na lini (mwezi gani). Je gunia moja la mahindi sh. ngapi kwa sasa?
Kama unahitaji mahindi, unaweza kuni-pm tunaongea.
 
Yahifadhi vizuri mpaka mwezi Januari 2012 utapata bei mara mbili ya sasa.
Kama unaweza leta Arusha bei ya kilo moja sasa ni shs 500.
 
Back
Top Bottom