Mutensa JF-Expert Member Joined Feb 20, 2009 Posts 421 Reaction score 92 Jun 21, 2011 #1 Wakubwa, Nina mahindi tani kadhaa za kuvuna msimu huu. Niko mkoa wa pwani. Naomba kujua soko zuri liko wapi na lini (mwezi gani). Je gunia moja la mahindi sh. ngapi kwa sasa? Kama unahitaji mahindi, unaweza kuni-pm tunaongea.
Wakubwa, Nina mahindi tani kadhaa za kuvuna msimu huu. Niko mkoa wa pwani. Naomba kujua soko zuri liko wapi na lini (mwezi gani). Je gunia moja la mahindi sh. ngapi kwa sasa? Kama unahitaji mahindi, unaweza kuni-pm tunaongea.
M mtinangi5 Member Joined Nov 10, 2010 Posts 44 Reaction score 17 Jun 21, 2011 #2 Yahifadhi vizuri mpaka mwezi Januari 2012 utapata bei mara mbili ya sasa. Kama unaweza leta Arusha bei ya kilo moja sasa ni shs 500.
Yahifadhi vizuri mpaka mwezi Januari 2012 utapata bei mara mbili ya sasa. Kama unaweza leta Arusha bei ya kilo moja sasa ni shs 500.
Rocket Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 133 Reaction score 7 Jun 22, 2011 #3 Mkuu unazo kama Ton ngapi!!!!!unaweza kuni-pm