Soko la majogoo wa kienyeji

Soko la majogoo wa kienyeji

wss

New Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
3
Reaction score
0
Habari Wakuu,

Ninauza majogoo ya kienyeji kwa yoyote anayehitaji au anayefahamu mtu anayehitaji naomba tuwasiliane kwenye email dconsolatha@gmail.com

Kila la kheri wakuu.
 
Ungeweka na bei ya jumla na rejareja namba za simu na jinsi ya kupata mzigo ingerahishisa zaidi
 
Nashukuru mkuu,

Bei ya jumla (kuanzia majogoo 50) ni Tsh. 15,000/= kwa rejareja ni Tsh. 18,000/=. Mteja anafuata mzigo mwenyewe kimara. Maelezo zaidi tuwasiliane kwa email dconsolatha@gmail.com
 
mbona unakwepa kuweka # ya sim yako....weka upigiwe na wahitaji
 
Back
Top Bottom