Ukija Dar utapata soko maana mashudu ya alizeti ni adimu kwa wafugaji,
Habari wadau
Mwezi huu katika kutembelea mradi wangu wa kilimo cha alizeti huko Rukwa nimeamua kuvuna na kukamua mafuta mwenyewe kuliko kuuza alizeti, kutokana na bei ya mafuta kuwa ya kuridhisha kwa sasa. Nimekwazika kidogo na bei ya mashudu huku Sumbawanga. Soko la mashudu Dar likoje? Kama kuna mtu ana info tafadhali tujulishane kuanzia bei, maeneo gani hasa naweza kupata wateja kwa Dar.
Asanteni
Asante BornTown.
Wafugaji changamkieni hii kitu. Nina contacts nzuri na wakamuaji mafuta hapa Sumbawanga. Ninaweza nikawa naendelea kuwaletea Dar sababu mimi mwenyewe nafanya shughuli zangu zingine Dar es salam.
Niuzie mimi hata kama una Tani 10, bei ntakupa 450 kwa kilo - kazi kwako. Ila yawe mashudu meusi.[/QUOTE ]
Nitakutumia namba yangu. Nitaomba unitumie yako pia ili tuwasiliane na tukubaliane. Kuhusu mahindi nitafanya utafiti kidogo hapa nijue bei zake na mahali gani utapata bei nzuri zaidi kwa hapa Rukwa. Kipindi hiki ni cha mavuno, bei inakuwa nzuri.
Niuzie mimi hata kama una Tani 10, bei ntakupa 450 kwa kilo - kazi kwako. Ila yawe mashudu meusi.
Niuzie mimi hata kama una Tani 10, bei ntakupa 450 kwa kilo - kazi kwako. Ila yawe mashudu meusi.
Kama unayo meusi ya kutosha na uhakika wa upatikanaji nipe namba yako tuongee.
ntakuinbox basi mkuu