Soko la matikiti mwezi wa saba linakuaje Dar?

Soko la matikiti mwezi wa saba linakuaje Dar?

luckyG

New Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufahamu, jibu lako litakua mwanga kwangu ..
 
Back
Top Bottom