luckyG New Member Joined Jun 18, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Apr 13, 2016 #1 Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufahamu, jibu lako litakua mwanga kwangu ..
Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufahamu, jibu lako litakua mwanga kwangu ..
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 5, 2024 #2 .
D Don Masanja JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 273 Reaction score 251 Jan 1, 2025 #3 Soko lipo