mkuu hapo sasa ndo wakati wa kubadilisha hiyo changamoto kuwa fulsa...ikibidi kuuza chipsi fanya hivyo ili mradi usitegemee kuwauzia watu...fanya kile wanachoyafanyia wao...Kweli mkuu yaani unajikuta una rundo mayai unakosa hela ya kununua chakula cha kuku ndio hata najiuliza hii hali ni ya kawaida?
Kweli mkuu yaani unajikuta una rundo mayai unakosa hela ya kununua chakula cha kuku ndio hata najiuliza hii hali ni ya kawaida?
mkuu hapo sasa ndo wakati wa kubadilisha hiyo changamoto kuwa fulsa...ikibidi kuuza chipsi fanya hivyo ili mradi usitegemee kuwauzia watu...fanya kile wanachoyafanyia wao...
Usemacho ni sawa lakini shida sasa mtu unazalisha 20+ trays kuzipa matumizi ghafla ni changamoto kubwa.mkuu hapo sasa ndo wakati wa kubadilisha hiyo changamoto kuwa fulsa...ikibidi kuuza chipsi fanya hivyo ili mradi usitegemee kuwauzia watu...fanya kile wanachoyafanyia wao...
kweli mkuu ni changamoto kubwa...ila jitahidi yasikuharibikie...kuna hawa jamaa wakurya jaribu kuongea nao hata kuwapa kwa mkopoUsemacho ni sawa lakini shida sasa mtu unazalisha 20+ trays kuzipa matumizi ghafla ni changamoto kubwa.
twende taifa tukashuhudie mnyama anauawa
Mkuu kuna kipindi mayai yalikuwa adimu sana, mpaka 7500 yalikuwa yanagombaniwa. Nasikia kuna kampuni ya kuku ipo chanika, wanazalisha tray nyingi balaa, halafu wanauza tray 4000-4500.
Hapa ndani nina karibia tray 200
mkuu hapo sasa ndo wakati wa kubadilisha hiyo changamoto kuwa fulsa...ikibidi kuuza chipsi fanya hivyo ili mradi usitegemee kuwauzia watu...fanya kile wanachoyafanyia wao...
Mkuu kuna kipindi mayai yalikuwa adimu sana, mpaka 7500 yalikuwa yanagombaniwa. Nasikia kuna kampuni ya kuku ipo chanika, wanazalisha tray nyingi balaa, halafu wanauza tray 4000-4500.
Hapa ndani nina karibia tray 200
mkuu Kijani 11 Vipi hali ya soko la Mayai bado baya? Nami nimeanza ufugaji kuku wa Mayai ! Baada miezi 4 hivi nitakuwa nauza MayaiDuh aisee hali isipobadilika mambo yatakuwa si mambo.