Habari za jumapili, poleni na kazi za wiki nzima. Nataka kuanzishaa biashara ya kuuza mayai ya kienyeje yale local kbss yani kiini cha njanoo na sio chotaraa. Naombeni ushauri ni wapi naweza pata soko lakee. Nawasilishaa ndugu zangu.
Nenda Mikocheni B Dar es Salaam, shuka kituo kinaitwa Business (B) au kwa Warioba pale- ingia mitaani kuna wadosi chungu nzima mitaa ile ya msikiti wa Mwinyi hadi ushindi Primary School kule watachukua mayai hayo