K King Tofutofu New Member Joined May 15, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Nov 13, 2024 #1 Naomba kujua masoko ya maziwa ya ng'ombe Kwa masoko ya Dar es Salaam. Hasa Kwa wanunuzi wakubwa wenye uwezo wa kununua litre kuanzia 1000
Naomba kujua masoko ya maziwa ya ng'ombe Kwa masoko ya Dar es Salaam. Hasa Kwa wanunuzi wakubwa wenye uwezo wa kununua litre kuanzia 1000
B Bonge JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 1,120 Reaction score 877 Nov 15, 2024 #2 Unauza maziwa?