Soko la mbaazi

alsam

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
221
Reaction score
308
Habari Zenu Wandugu na Poleni na majukumu.

Naulizia soko la mbaazi kwa Dar es Salaam

Nawasilisha
 
Sasa c ujibu humu mkuu watu wote wapate faida? Au unataka umtapeli jamaa?
 
Sasa c ujibu humu mkuu watu wote wapate faida? Au unataka umtapeli jamaa?
Shangaa sasa!!
Nami ni mdau wa zao la Mbaazi nimesubiri kwa hamu kupata details hizo! Jamaa kampeleka mleta uzi kichochoroni! Ha ha aah! Hatari sana!
 
huyo Jamaa nahis atakua tapeli si aseme hpa hpa
 
Msaada nataka kuingia kwenye kilimo cha dengu ili kukidhi matakwa ya soko jipya lililopatikana huko India baada ya waziri mkuu wao kumtembelea " HAPA KAZI " Hivi majuzi ninaomba mtaalamu wa zao hili anipe madesa kuhusu kilimo hiki ikiwa ni pamoja na hali ya hewa , aina ya udongo unaofaa, mbolea if any, ugumu na urahisi wa kilimo hiki, mbegu , msimu wa upandaji, inachukua muda gani na inahitaji palizi ngapi,hekari moja iliyohudumiwa vizuri inauwezo wa kutoa gunia ngapi? natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…