Soko la mihogo wapi ?

Supervision

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
265
Reaction score
203
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi.

Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo hiki pia naomba niambiwe kuwa inauzwaje ? Ikiwa imetolewa.maganda au bila kutoa maganda.Nataka niingie serious kwenye kilimo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…