David Goldian
New Member
- Nov 5, 2018
- 3
- 0
Habar ndugu Zangu natumaini mnaendelea vizur na poleni na majukumu ya siku nzima ningependa kujua soko la muhogo mkavu ninazo kama Tani 15 na bei yake kwa kilo tafadhari asanteni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana ndugu yang kwa ushauri wako we unapatikana wapi na pia kwa sasa siwezi Pata njia mbadala la ya kuuza labda hata makampuni mbali mbali nchini ina maaan soko la muhogo mkavu kwa sasa hamna kabisa aisee naona ulobaki shamban nisifikilie kuukausha kabisaAsante sana,na pia hongera kwa kuwa na tani nyingi sana za mihogo lakini kwa sasa kwa tafiti mbalimbali ambazo tumezifanya kama wataalamu wa kilimo biashara tumeona kwamba soko la mihogo limeshuka sana kwa Kasi nchini ko nakushauri usikimbilie kuziuza kwa maana utapata loss kubwa sana,ko kwa kukushauri ungeonana na wataalamu wakaribu au mimi mwenyewe au asasi mbalimbali tukaona Ni jinai gani yakuweza kukusaidia kutokana na demand ya mihogo kushuka, lakini supply yake kuongezeka
Ko unaweza uka jibackup kwa kufanya VALUE CHAIN ANALYSIS (kuongeza mnyoroeo thamani)katika mazao si tu mhogo pia hata mazao mengine ya biashara kama kahawa, korosho,mkonge,pamba, alizeti,na N.K ilikuweza kupata faida Zaidi pindi utakapouza muhongo wako.
Asante Sana kaka angu kwa kushukuru,mimi kwa Sasa nipo mkoani Kigoma,njia mbadala ya kuuza muhogo wako unaweza kupata maybe wewe unapatikana wapi ili usaidiweNashukuru sana ndugu yang kwa ushauri wako we unapatikana wapi na pia kwa sasa siwezi Pata njia mbadala la ya kuuza labda hata makampuni mbali mbali nchini ina maaan soko la muhogo mkavu kwa sasa hamna kabisa aisee naona ulobaki shamban nisifikilie kuukausha kabisa
Nipo dar ila mzigo upo pwani msataAsante Sana kaka angu kwa kushukuru,mimi kwa Sasa nipo mkoani Kigoma,njia mbadala ya kuuza muhogo wako unaweza kupata maybe wewe unapatikana wapi ili usaidiwe