Ndugu wadau napenda kujifunza kutoka kwenu kwa wale wenye kujua vizuli kuhusu biashara ya ngozi na soko lake.
Nataka kujua uitaji wake gharama ya manunuzi na gharama ya sokoni.
Na je! soko kuu liko wapi?