Tueleze uzoefu wako mkuu. Was it imported or used at Tz?Ndio ilikuwa gari yangu ya kwanza kumiliki.......
Mama ako ndo anamshono. Ukiacha umario utaacha ujinga.Tuliza mshono acha kutoka povu
Hapo ndio nakupendea Mwl unauliza constructive questionsJe ni changamoto zipi ulikumbana nazo katika kuitumia hiyo gari?
Je unawashauri nini wadau kuhusu hiz gari?
Mama ako ndo anamshono. Ukiacha umario utaacha ujinga.
Ukifunguka kuhusu hizo changamoto na namna ambavyo umezitatua utasaidia wengi sana! Karibu!NISSAN X-TRAIL NDIO GARI NINAYO TUMIA SANA KWA SASA, KIUKWELI INA CHANGAMOTO JAPO KWA MTAZAMO WANGU BODY YAKE NI NZURI.
Usibishane na watu wa namna hii...Acha mtazamo potofu kwani kuna sehemu wameandika for me au for ke, kushikiwa akili kwa watanzania ndo kumesababisha tumefikia hapa.
Swali dogo la kiume..?Kwahiyo watu wanazivumilia kuhusu kuchemsha.
Kwa nini usiipaki......kwani haina parking break..??Povu la nini sasa? hivi unaweza kupark Extrail mahali iliposimama Harrier Lexus 2.4
hata uimara wa body mbali sana, comfortability mbali pia,naona leo mashabiki wa xtrail mnajipongeza uongo
Could you please share your experience because not all Jamiiforums users have access to Instagram. ThanksFollow my Nissan X-Trail fan page on instagram: @xtrailnationtz
Naona chuma bado kibiiiichi kabsaa,Chuma hikoView attachment 1167242
You're damn right!4WD ya hii gari haijawahi niangusha, hizi gari watu wamezipaka tope kweli lakini kwa wanaomiliki wanazijua.
Ukizingatia taratibu zote za utumiaji wa chombo cha moto you can reach 50yrs with x trail
mkuu unaweza kushare details za fundi wako mahsusi unayemtumia kuservice x trail yako....Hii gari kwa kweli haina changamoto yoyote iliyotofauti na gari nyingine, mimi ninayo mwaka wa 6 sasa, sijafanya chochote zaidi ya kubadilisha sensor za gia box na cam shaft basi, na ninasafiri nayo mara nyingi sana mikoani na nchi zq jirani. Hata hilo swala la kuchemsha mimi kwangu sijaliona, huwa nasikia tu kwa watu, tena anakuambia hilo wengi hawamiliki hiyo gari. Coolant tangu nimeweka ina zaidi ya miezi 6 na nimesafiri iringa, mtwara, moshi na sijagusa chochote zaidi ya service ya oil tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
WAMILIKI WA NISSAN TUIENDE GROUP wasapu
Acha wivuIli mpate nini?