Soko la pamba: Serikali haiko makini Wananchi kanda ya ziwa waliwa

Soko la pamba: Serikali haiko makini Wananchi kanda ya ziwa waliwa

Kijana ushe2

Senior Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
179
Reaction score
127
Ndugu wanajopo habari za siku nyingi na pilikapilika za kulijenga taifa letu la uchumi na viwanda .

Naomba mawaziri na manaibu mawaziri waliopo humu wajaribu kufuatilia kuna wananchi kanda ya ziwa wameuza pamba kwa mkopo mpaka sasa hawajapata hela yao lakini pamba imeshatolewa kwenye stoo za kuhifadhia na kusababisha tafurani wananchi wa kijijini hawajui chochote viongozi wa chini wanaangalia tu na madiwani wanaangalia tu.

Matukio haya yanatokea kwingine wahasibu wanaomba rushwa kwa kila shilingi 30000 atakayopata mkulima kuna 7000 hapo ni katika kata ya kisuke tarafa ya dakama kijiji cha itumbo halmashauri ya ushetu viongozi pia kuna sehemu kama ya kinamapula kata ya kinamapula wameuza tangu june 30 mpaka leo hii hawajapata fedha yao viongozi walio na rungu angalieni hawa ni walala hoi wenzangu na pia ndio wanategemea hapo hata kama ni mia 300 wapewe wamehangaika kwa muda wa miezi mingi lakini hawajalipwa hela yao.

Mwananchi mtiifu

Ushetu ndio nyumbani na mtetezi wa wakulima aliendelezwa kwa sababu ya kilimo
 
Pole sana mkuu
tapatalk_1566799935500.jpeg
 
Back
Top Bottom