Mkuu tuchekiane kwenye namba hii nikutaftie masoko nakugawana faida
vip kuhusu bei aisee halafu hujaacha hata contactNahitaji Wateja wa ndani na nje niwauzie pilipili hoho,nina mzigo wa kutosha,kila wiki,na kila mwezi kwa muda wa mwaka Mzima kuanzia mwezi huu wa kwanza mpaka mwezi wa kwanza tena 2017.
Kwa yeyote anayejua au anataarifa soko lilipo naomba anisaidie kunipa taarifa mapema sana.
Mimi Niko mbeya.
Bei ya shambani debe moja ni shilingi elfu 8,vip kuhusu bei aisee halafu hujaacha hata contact
ok,Bei ya shambani debe moja ni shilingi elfu 8,
No yangu ya simu ni 0625889856
dah mkuu nimekutumia msg lakini naona hujibu haraka kama unavyojibu hapa, basi kwa faida ya wengine pia nauliza tu hapa , upo mkoa gani na unaweza ku supply kiasi gani kwa kila wiki?Bei ya shambani debe moja ni shilingi elfu 8,
No yangu ya simu ni 0625889856
Kiongozi mbona hiyo sms bado haijanifikia,cheki vizuri no uliyotuma huo ujumbedah mkuu nimekutumia msg lakini naona hujibu haraka kama unavyojibu hapa, basi kwa faida ya wengine pia nauliza tu hapa , upo mkoa gani na unaweza ku supply kiasi gani kwa kila wiki?