tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
wadau nina mawe ya red garnet kama kilo 3 hivi, natafuta soko zuri la kuyauza... .
naomba msaada wenu kwa anayewajua wanunuzi...
naomba msaada wenu kwa anayewajua wanunuzi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeyaiba? Kama ni biashara yako kwa nini usijue lilipo soko? Mambo yote kwenye mtandao baba. Kama unataka wanunuzi wa uso kwa uso umeliwa.wadau nina mawe ya red garnet kama kilo 3 hivi, natafuta soko zuri la kuyauza... .
naomba msaada wenu kwa anayewajua wanunuzi...
Umeyaiba? Kama ni biashara yako kwa nini usijue lilipo soko? Mambo yote kwenye mtandao baba. Kama unataka wanunuzi wa uso kwa uso umeliwa.