Buhaya boy
Member
- Jun 16, 2013
- 88
- 16
Wapendwa wanajamvi mimi pamoja na kwamba natafuta soko la sabuni ya kunawia mikono(liquid hand washing soap) naomba kutoa ushauri kuwa kwakuwa members wa JF tuko wengi basi tusaidiane kwa sisi wenyewe kuuziana bidhaa kwan mfano mimi nilikuwa napeleka oda ya nembo za bidhaa zangu kwa wasio wana jamvi nilipopata uzi wa wanajamvi wanaotengeneza nembo nikaamia kwao.Hivyo kama wote tutafanya hivyo lazima tufanikie kwa kuchangiana mfano mimi nahitaji malighafi kama sles,fomalin,harufu za sabun,rang,vitambaa vya pamba kwa ajili ya batik, rangi za batik(dye) naamin wengine mnaweza kuwa wahitaji wa bidhaa zangu hasa wale wenye baa,migahawa,guest house hata matumiz ya ndani sabun zangu ni bora na wenye maduka ya nguo au vitambaa vya kushona batik zangu zinawafaa.Ahsanten 0717539573 email:stanslausd@yahoo.com