totoreshakuku
Member
- Aug 3, 2016
- 35
- 7
Habari wana JF naomba kujua soko la samaki aina ya kambale msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thread mbili umeanzisha swali hilo hilo maelezo hayajitoshelezi.mods angalieni hiiHabari wana JF naomba kujua soko la samaki aina ya kambale msaada
Kwa mtu yeyote anayeniuliza kuwa soko la kambale lipo wapi huwa namuuliza pia ni samaki gani huwa hna soko?
Masoko ya samaki hsa kambale ni mengi 2 sema unahitaji ubunifu pia kuweza kuuza samaki wako kwa bei ya juu.
Mfano wenzetu wakenya na waganda wamefikia atua ya kutengeneza fillets, Sourage, kababu na sharif za kambale. Ni product ambayo kenya imepata soko kubwa sana.
Watz tunahtaji ubunifu katika masoko pia.
Hakuna anayeweza kuzalisha kambale Tanzania hii wakuweza tosheleza soko la ndani pekee.
Soko pia linadepend upo wap.
Mfano. Kuna mfugaji wa kambale yupo tabora. Yeye huuza kambale wa 300g to 500g kwa 2000. Hwa wanakuwa wamefugwa kwa miez isiyozid 4. Na huwauza katika soko la tabora pekee. Yeye hufanya over stocking ambapo unakuta bwawa 1 lina samaki 10000. Kwa hesab ya hraka anapata earning ya 20,000,000tsh ndani ya miez 4. Na anazaidi ya mabwawa 3.
Kama soko la bongo linazingua waweza uza hta uko kenya ambapo kilo ya kambale ipo around. 10000 to 12000tsh. Wajaluo mboga yao kuu ni kambale.
Hii imekaa vizuri...kuongeza thamani kwenye mazao ya samaki. Binafsi nipo kwenye hatua ya uchimbaji mabwawa kwa ajili ya ufugaji... hili wazo la kuongeza thamani ntalifanyia kazi kumbe naweza kuwa na kiwanda aiseeKwa mtu yeyote anayeniuliza kuwa soko la kambale lipo wapi huwa namuuliza pia ni samaki gani huwa hna soko?
Masoko ya samaki hsa kambale ni mengi 2 sema unahitaji ubunifu pia kuweza kuuza samaki wako kwa bei ya juu.
Mfano wenzetu wakenya na waganda wamefikia atua ya kutengeneza fillets, Sourage, kababu na sharif za kambale. Ni product ambayo kenya imepata soko kubwa sana.
Watz tunahtaji ubunifu katika masoko pia.
Hakuna anayeweza kuzalisha kambale Tanzania hii wakuweza tosheleza soko la ndani pekee.
Soko pia linadepend upo wap.
Mfano. Kuna mfugaji wa kambale yupo tabora. Yeye huuza kambale wa 300g to 500g kwa 2000. Hwa wanakuwa wamefugwa kwa miez isiyozid 4. Na huwauza katika soko la tabora pekee. Yeye hufanya over stocking ambapo unakuta bwawa 1 lina samaki 10000. Kwa hesab ya hraka anapata earning ya 20,000,000tsh ndani ya miez 4. Na anazaidi ya mabwawa 3.
Kama soko la bongo linazingua waweza uza hta uko kenya ambapo kilo ya kambale ipo around. 10000 to 12000tsh. Wajaluo mboga yao kuu ni kambale.
safi sana value addition imekaa vyema Asante kwa wazo lako Zuri mdauKwa mtu yeyote anayeniuliza kuwa soko la kambale lipo wapi huwa namuuliza pia ni samaki gani huwa hna soko?