Wakuu karibuni tunasambaza samaki na dagaa waliokaanga na kupakiwa vizuri kwa mikoa ya Dar na Arusha kwa order utakayotupatia.
Dagaa na samaki wote wanatoka ziwa Victoria na pia kwenye ukaangaji vinawekwa vikorombwezo kibao hakika utaenjoy!!!
Karibuni kwa order wakuu
Mawasiliano 0765 099627