deebo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 353 Reaction score 229 Feb 11, 2017 #1 Habar wakuu? nafanya biashara ya samaki aina ya sato na sangara toka mwanza.. target ni kuongeza soko kwa kuuza samaki nje ya mwanza.. kwa wale mlio nje ya mwanza fursa hii tufanye kazi kama kweli una nia...
Habar wakuu? nafanya biashara ya samaki aina ya sato na sangara toka mwanza.. target ni kuongeza soko kwa kuuza samaki nje ya mwanza.. kwa wale mlio nje ya mwanza fursa hii tufanye kazi kama kweli una nia...
N Ndondobwila JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 562 Reaction score 407 Feb 11, 2017 #2 Unawatayarishaje?