Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Mida hii ya sasa saa 3:51 usiku huu soko la sido(KABWE) mbeya vibanda vyake vinateketea kwa moto, chanzo cha moto bado hakijajulikana

ROmanus FAdhali COsmass Lengu(ROFACOL)
 
Mbeyaa sijui kuna majanga gani. ..nakumbuka wakatii niko form six shule yetu iliungua mara mbilii ndani ya wiki mbili

Nokia ya Torch
 
Hapo kutakuwa na namna moto huwa hazuki hivhiv.......
 
vipi tu`picha picha ili na sisi tuliopo mbali tujionee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…