Hii sido juzi juzi tu imetoka kuungua, leo ni mara ya piliDah watakuwa wamechoma ili jengo lao walojenga watu mapange, coz upande unaoungua sio upande wa walikojenga soko lao. Kama walvochomaga mwanjelwa ths tm wamechoma sido.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalia nn wanafiki tu
iyunga sec au ?Mbeyaa sijui kuna majanga gani. ..nakumbuka wakatii niko form six shule yetu iliungua mara mbilii ndani ya wiki mbili
Nokia ya Torch
Naikumbuka hii mkuu,nasikia roho yake iliacha mwili akiwa Mbeya.Nakumbuka lilipoungua solo la Mwanjelwa, Waziri mmoja anayehusika na maafa alikwenda na akaanza kutoa kejeli kama zako, kumbukumbu zinanioshesha alibaki mbeya.!!!
amina mkuuuNaamuru huo moto uzimike sasa!
usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
Serikali yenu ndio ya kichawi maana ndio wanaochoma masoko kwa sababu za kipuuzi.
Nakumbuka lilipoungua solo la Mwanjelwa, Waziri mmoja anayehusika na maafa alikwenda na akaanza kutoa kejeli kama zako, kumbukumbu zinanioshesha alibaki mbeya.!!!