Soko la turkey na mayai ya kienyeji morogoro

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
604
wadau mimi nimepumzishwa kibarua sehemu niliyokua nawajibika,baada ya kufungua kesi na kushinda kesi hiyo,nimeamua kuachana na ajira kabisa,nasubiri nilipwe changu niwe mjasiliamali,sasa nilikua nataka niwekeze kwenye kuku wa kieneyeji,mayai yake na bata mzinga pia(turkey) hasa katika mkoa wa morogoro kwa vile tayari nina eneo la kutosha kule,naomba yeyeto mwenye taarifa juu ya soko la uhakika wa bidhaa tajwa hapo juu anisaidie ili nisije wekeza kwa kitu kisicho kua na maslahi...asanteni wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…