KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Habari wakuu! Nimekuwa nikitafuta soko la uhakika la ubuyu ambao bado ni malighafi kwa miaka 4 sasa bila ya kufanikisha.Maeneo nilipo malighafi hii ya ubuyu upatikana kwa wepesi na kwa bei ya chini kiasi ambacho natamani kufanya biashara hiyo.
Basi naomba kwa mwenye kujua soko la uhakika la bidhaa hiyo lilipo,aweke hapa kwa faida ya wengi.
Asanteni.
Basi naomba kwa mwenye kujua soko la uhakika la bidhaa hiyo lilipo,aweke hapa kwa faida ya wengi.
Asanteni.