KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Peleka malawi mkuu,hutojutaHabari wakuu! Nimekuwa nikitafuta soko la uhakika la ubuyu ambao bado ni malighafi kwa miaka 4 sasa bila ya kufanikisha.Maeneo nilipo malighafi hii ya ubuyu upatikana kwa wepesi na kwa bei ya chini kiasi ambacho natamani kufanya biashara hiyo.
Basi naomba kwa mwenye kujua soko la uhakika la bidhaa hiyo lilipo,aweke hapa kwa faida ya wengi.
Asanteni.
Ebu ongezea nyama hapo mkuu.Peleka malawi mkuu,hutojuta
Kwa sasa nipo Morogoro ila Igunga Tabora ndiyo kwangu na mchongo hupo hapo.Upo mkoa ganimkuu, mimi nipo Pemba na soko la ubuyu ni zuri tu huku na Zanzibar kwa ujumla. Weka no zako nikutafute
Mkoa ni Tabora.Wewe unanunua kwa bei gani gunia la debe saba?.unauzaje kwa magunia na upo mkoa gani??
Mkuu tunaweza fanya biashara ya ubuyu, au kama kuna soko huko, kuna sehemu nimekuta ubuyu wa kutosha tena ni cheap sanaUpo mkoa ganimkuu, mimi nipo Pemba na soko la ubuyu ni zuri tu huku na Zanzibar kwa ujumla. Weka no zako nikutafute