Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Asante
Asante kwa mawazo, lakini kiwanda ndo kinatafuta wateja hivyo ningetamani sana nipate kujua soko lakeLabda kabla ya kukimbilia soko kubwa,naomba nikushauli mpendwa.
Kwakuwa unaonekana ndio unaanza hii biashara,anza kwa kufanya packaging ya bidhaa zako kwa mfumo wa uwezo wa mtanzania wa hali ya kawaida.
Mfano
Mafuta ya ubuyu lita 1,2,3,5,10 na 20
Unga wa ubuyu anzia na robo kilo,nusu kilo,then kg 1 na kuendelea ila hapa kwenye unga nadhani ungeanza na hizo item tatu then utaongeza kadili ya mahitaji ya wateja wako
Muhimu;
Tumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya umuhimu ya bidhaa zako kiafya na kimatibabu kwa ujumla wake,niamini mimi baada ya miezi mitatu utaona matokeo ya juhudi zako. All the best mpendwa.