Salaam wakuu. Kuna jamaa yangu amelima ulezi anao mwingi sana upcountry. Wanaodeal na mazao naulizeni soko la hapa mjini likoje, kuna mteja Wa kuweza kununua gunia 50 kwa pamoja? Bei ikoje? Natanguliza shukrani.
Nenda Mbozi rd keko, uliza wahindi wanaonunua hio habari! Au fika kioo ltd, iwe mkono wa kushoto nyosha na hiyo barabara hadi mwisho inafika kwenye kwnye hilo geti! Nimesahau jina la hiyo kampuni