Soko la unga wa mhogo,mihogo na maembe msaada

sangas

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
135
Reaction score
95
wana jamvi ninatafuta soko la unga wa mihogo na mihogo yenyewe inapatikana kwa wingi na kama mtu anajua wapi nitapata soko hilo hivyo anijuze tafadhali
 
ngoja nikae na mie nione ushauri,nataka kujiingiza ktk hio biashara
 
inaonekana watalaam wetu wa mambo haya kama mallila hajapita ina naamini tunaweza pata jibu
 
wana jamvi ninatafuta soko la unga wa mihogo na mihogo yenyewe inapatikana kwa wingi na kama mtu anajua wapi nitapata soko hilo hivyo anijuze tafadhali

Mdau sijui uko maeneo gani mimi nahitaji kujua hizo embe unazouza na aina yake labda tunaweza fanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…