Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenu bado mnshona hivyo VISHUNGI UMIZA, huku nilipo ukishona namna hiyo hupiti kwene mageti hata wakulima walishaelimishwa ukienda na staili hiyo yavishungi unakamatwa kwasasa nimwendo wa VISHUNGI MPALAZO tu hata sado haijai
LUMBESA (VISHUNGI UMIZA) haikubaliki hasa Mkoa wa Njombe na Mbeya. Miaka miwili kabla ya sasa ilikuwa mnunuzi unatozwa sh 1000 kwa kila gunia ukiweka LUMBESA. Kwa sasa ni marufuku, kwenye Vizuizi vya Mazao hutaruhusiwa kupita na mzigo wenye LUMBESA.Huko kwenu bado mnshona hivyo VISHUNGI UMIZA, huku nilipo ukishona namna hiyo hupiti kwene mageti hata wakulima walishaelimishwa ukienda na staili hiyo yavishungi unakamatwa kwasasa nimwendo wa VISHUNGI MPALAZO tu hata sado haijai
Wanavishonea wakifika DarHuko kwenu bado mnshona hivyo VISHUNGI UMIZA, huku nilipo ukishona namna hiyo hupiti kwene mageti hata wakulima walishaelimishwa ukienda na staili hiyo yavishungi unakamatwa kwasasa nimwendo wa VISHUNGI MPALAZO tu hata sado haijai
Wanashonea DarLUMBESA (VISHUNGI UMIZA) haikubaliki hasa Mkoa wa Njombe na Mbeya. Miaka miwili kabla ya sasa ilikuwa mnunuzi unatozwa sh 1000 kwa kila gunia ukiweka LUMBESA. Kwa sasa ni marufuku, kwenye Vizuizi vya Mazao hutaruhusiwa kupita na mzigo wenye LUMBESA.
Vinamwibia Mkulima (Vishungi 6 = Gunia 1). Wala hakuna makubaliano ila mnunuzi analazimisha tu.Ni makubaliano ya mkulima na mfanyabiashara sijui kwann wanakataza vishungi
Kwani bei ya gunia lenye kishungi na lisilo na kishungi si ni tofauti pia.Vinamwibia Mkulima (Vishungi 6 = Gunia 1). Wala hakuna makubaliano ila mnunuzi analazimisha tu.
Siku hizi hamna tofauti ila miaka 2 iliyopita ilikuwa tofauti. Hii ni kazi mojawapo ninayoweza kumsifia Waziri wa Kilimo Ndugu Bashe ameisimamia ipasavyo. Ingawa kwenye mbolea ya ruzuku amefeli, Mawakala wanachanganya mbolea na udongo au uchafu mwingine matokeo ni kupata viazi kidogo na hafifu.Kwani bei ya gunia lenye kishungi na lisilo na kishungi si ni tofauti pia.