Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 423
- 90
Wadau maisha yanachanga moto nyingi sana. kukabiliana nimeingia katika kilimo cha vitunguu.
Nakaribia kuvuna mwezi mapema mwwezi huu. naomba msaada wenu kwa yeyote anyefahamu wapi naweza kupata soko la uhakika hapa dar es salaam?
Vitunguu nimelima Ruaha mbuyuni. natanguliza shukrani zangu za dhati.