Mkuu hapa zenji kilo 2500,piga hesabu gunia lako kilo ngapi na itakugharimu njuluku ngapi mpaka lifike!
kitungu bei sahv ni zaidi ya hiyo 50..tena ukiwapata wakomoro ah ushashinda
Elfu mbili mia tano and as of yesterday 2000tzs per kilo!Mkuu ulimaanisha kilo 250 (mia mbili hamsini) au hiyo hiyo uliotaja, kilo 2500 (elfu mbili mia tano) ?
Nimetokaa uliziaa bei ya kitunguuu leo ni 120'000 kko
Mkuu hapa zenji kilo 2500,piga hesabu gunia lako kilo ngapi na itakugharimu njuluku ngapi mpaka lifike!
Mkuu Rashidtanz as of today kilo ni 4000tzs.na tunataraji kupanda zaidi ya hapo coming eid ul fitr.kuhusu hoja ya pili usijali mbona mzee Lipumba keshaweka sawa hukuMkuu 124 Ali, mwaka jana ulitusaidia bei ya vitunguu huko zenji... je mwaka huu, tuko kwenye tarehe takriban zile zile, hebu tupe michanganuo za bei zilivyo... tunakushukuru in advance sisi ndugu zenu wa bara..
Usituangushe pamoja na mitazamo mbali mbali ya serikali moja, mbili, tatu, n.k. 🙂
Mkuu Rashidtanz as of today kilo ni 4000tzs.na tunataraji kupanda zaidi ya hapo coming eid ul fitr.
Wenyewe wanatuambia Dolari ndio imeleta fujo zote hizo!Waislamu wenzetu wa visiwani tutaweza mabiriani mwaka huu kweli...