Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Viatu vya namna hiyo wanaweza Waitaliano, sasa mmbongo kucopi kwa kutumia semi-processed cow hide siyo professionalism na wala havivutii wanunuzi; kwa vile huyo mtengenezaji anaonekana anauwezo mzuri wa kucheza na ngozi, anatakiwa awe mbunifu atengeneze viatu ambavyo viko unique na viwe kiasili zaidi, hapo itakuwa rahisi kpata soko la uhakika la nje na ndani.
wakati watanzania wanajitahidi kutumia malighafi zetu kutengeneza finished goods wewe unawabeza, that is colonial legacy