Sokoine na Kolimba, vifo vyao vilimkera Mwalimu kiasi gani?

Jaribu kuwa inteligent kidogo tu,kesi yoyote huwa haihukumiwi kutokana na madai ya mlalamikaji na polisi pekee,ndio maana ushahidi wa kutosha huhitajika.kutoka kwa mashuhuda wengine.
Hapa naona wewe na yeye muathirika wa acid, mmejaa u-ccm pekee na pale ambapo lolote baya la kibinadamu linapowakuta basi nyie hukimbilia kudhani linafanywa na mahasimu wenu wakuu nchini ambao kwa sasa ni cdm?
Je hudhani klwamba kuna uwqezekano wa yeye kuumizwa na wana ccm wenzie pengine kwa kudhulumiana mgao wa posho nk?
Kuhusu arumeru umetufumbua macho kuwa ccm inapanga kutumia vurugu za sungusungu ili kuvuruga uchaguzi kwa kisingizio ni wafuasi wa cdm
 
havikumsikitisha hata kidogo, mana na yy anahusika kwenye vifo hvyo
 
Tunajadili mawazo ya marehemu kwani sisi tulio wazima leo hii hatuna tena mawazo? Akili zetu zimebadilishwa na mifumo ya Computer (Software)? Wewe mtoa mada ungesema CCM wamekwama wapi na nini wanatakiwa wafanye ili kujikwamua

Ccm wamekwama kwa kuwa na Mwenyekiti asiyekuwa na maono [VISION] ya kukiongoza chama bila kutegemea fedha za mafisadi!! Sasa mafisadi ndio wanaokiongoza chama na kuwaondoa inakuwa vigumu kwasababu wao ndio waliomuweka madarakani. CCM is a moribund party!!
 
Kazi kubwa ya historia hutufunza tulipotoka,tulipo na tuendapo
 
1.mnamkumbuka Horace Kolimba

2.aliwahi kuwa katibu mkuu wa ccm,na moja ya kauli zake tata ilikuwa CCM INANUKA RUSHWA TENA IMEOZA,NANG'ATUKA

3.unajua nini kilimkuta baada ya hyo kauli?MAUTI NA KIFO CHAKE KILIKUWA CHA UTATA SANA SIJUI KAMA WALIUNDA TUME.

JE,inamaana mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti na wana ccm anakuwa ni adui?

hakika ccm haijaanza leo kuweka vizuizi katika uhuru wa maoni,na ndio maana weng wao wenye mtazamo tofauti na chama walikumbwa na matukio yakutisha.

POLENI WETU MLIOKUMBWA NA HAYA HAKIKA DAMU YENU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WA TAIFA HILI.
 
Babu na wewe una kumbukumbu, maana nilishasahau kumbe hawa jamaa wana record si bure!
 
aaaha umetukumbusha ya KOLI....BA
 
Mwalimu Julius Nyerere, "CCM inaweza kubadilika. Siku ikiacha misingi nami naachana nayo, CCM si mama yangu. Ninaye mama mmoja tu."

Mwalimu Julius Nyerere, "Mtu ye yote mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu na wewe una akili na unajua ni ya kipumbavu na ukayakubali, atakudharau. Sasa hatuwezi tukakubali mambo ya kipumbavu Tanzania."

Je baada ya hapo hali ilikuwaje?


Mwalimu Julius Nyerere, "[SIZE=-1]Najua sitapona toka ugonjwa huu. Nasikitika kuwaacha Watanzania wangu. Najua watalia sana. Lakini mimi nitawaombea mbele ya Mungu.[/SIZE]"

Tarehe 14 Octoba, 1999 - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliaga dunia.
 


dah,inamana na jk nyerere walimuua?
 

haya maelezo yako hakuna wakukushauri maana aliyetakiwa akushauri alishakufa, naye ni julius nyerere. labda angekua hai ungemuuliza hivi wewe mzee mlipomuita kolimba dodoma kwa nini hakurudi hai kutokana na kauli yake kuwa ccm haina dira wala muelekeo?
 
Kina kundi kubwa ktk chama ambao wana chuki kubwa sana ya watangulizi na hasa Nyerere. Sishangai kabisa maoni ya kupuuzia historia. QUOTE=kilimasera;1739279]mzee umewahi kusoma historia??[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…