British economist
Senior Member
- Jul 14, 2013
- 104
- 14
Naomba mnijuze wale wanaosoma bsc in agricultural economics and agribness ajira yake ni wapi hasa.
Na ni vitu gan nije navyo wakati wa kulipoti ukiacha ada na michango
je kuna haja ya kuja na madaftari kama counterbook

Hongera kaka mwenyewe nimechaguliwa faculty hiyo hiyo kama vp nichek kupitia 0763886451 au 0712485297 angalau tufarijiane n tufahamiane mkubwa. am AboubakarNaomba mnijuze wale wanaosoma bsc in agricultural economics and agribness ajira yake ni wapi hasa.