usiku mmoja sokomoko alikuwa na mkewe na mazungumzo yakawa hivi;
MKE; hivi mme wangu,kati ya mimi na pombe unampenda zaidi nani?
SOKOMOKO; napenda pombe mke wangu.
MKE; yani hivihivi unanijibu kwa kujamini kabisa kuwa unapenda pombe??
SOKOMOKO; yani wewe badala ya kumshukuru mungu kaumba hiki kinywaji,una kazi ya kuuliza maswali ya kupuuzi tu!
unafikiri bila kulewa ningeweza kukutongoza wewe??