mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
Habari waheshimiwa,
naomba kuuliza kwa mwenye kujua ni maeneo gani kariakoo nitapata soksi za jumla? na gharama yake ikoje?
NOTE;Sio soksi za shule
natanguliza shukrani kwa mtakaochangia
naomba kuuliza kwa mwenye kujua ni maeneo gani kariakoo nitapata soksi za jumla? na gharama yake ikoje?
NOTE;Sio soksi za shule
natanguliza shukrani kwa mtakaochangia