INAUZWA Solar Inauzwa

Raia Mtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
316
Reaction score
612
Mzigo mwingine huo hapo; epuka usumbufu wa kukatika umeme mara kwa mara; solar kubwa hiyo hapo kwa bei Poa; vioo viwili vyenye ubora wa hali ya juu na bado vipya kabisa: kila kimoja watt40 Jumla vyote viwili ni watt80.

Digital Charger Controller na waya kutoka kwenye kioo hadi kwenye betri wenye urefu wa mita 10 na unene wa 4mm. Unaweza kuwasha taa 15 hadi 20 za watt 1 na 2. Pia inawasha Tv inch 14 hadi 32 unaweza kuangalia Tv muda wowote. Simu hazina idadi.

Mzigo wote huo vioo,waya na controller kwa bei ya 100,000 tu!! Hivyo vyote ukienda kuvinunua dukani zaidi ya 180,000 itakutoka. Unajaribishiwa vyote hivyo kabla ya kununua. Ukihitaji Fundi wa kukufungia pia yupo unampoza kidogo tu. Solar zipo vikindu. Namba 0623 884 950

NB: kama unataka solar kwa ajili ya taa 4 hadi 6 na kuchaji simu unaweza kuchukua kioo kimoja, waya na charger controller kwa 60,000.


 
Hii ndogo kwangu ila ngoja nikutafutie wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…