BP((puma Energy) KurasiniREX Energy GerezaniEnsol Ubungo RubadaChloride Exide Ubungo EPZUmeme Jua UbungoMionzi Jua KariakooRedcot urafiki
Hakuna umeme,bali kuna minguzo na miwaya tuu na every day mgao,na kama hutumii luku basi tegemea bili ya kubambikiwa mwisho wa mwezi lol!Huduma hii ilifaa zaidi huku pembezoni kama huku Mbozi ambako maeneo karibu yote hayana umeme. Lakini hapo Dar maeneo mengi umeme upo, au sio jamani.
Nenda Mlimani City pale Nje Kuna Maonesho ya Nyumba yanayoisha Jumapili Jioni Utapata Detail Zote
Nenda solatex kama sijakosea kama uko Dar ni pale keko karibia na interchick. Niwa Kenya wako serious kweli na biashara. Good luck.
Asanteni sana Inkoskaz, Duduwasha, kakolo kwa msaada wenu. Kwa sasa sipo Dar lakini nikifika huko nitafuatilia kwa kufikiria hilo hilo alilosema Nzowa Godat hapo juu. Iko haja ya kuwa na umeme mbadala hata ukiwa Dar (au popote TZ) kwani hawa Tanesco hawaaminiki.BP((puma Energy) KurasiniREX Energy GerezaniEnsol Ubungo RubadaChloride Exide Ubungo EPZUmeme Jua UbungoMionzi Jua KariakooRedcot urafiki