Solar Water Pumping System

Sijui kwanini unakwepa kuweka bei. Umeshapewa specs si umwambie bei tu, aje inbox kwanini sasa
Kuna vitu vingi vya kuangalia Brother ili kuweza kujua hiyo pump ni ya ukubwa gani ndio maana nimeomba kuwasiliana zaidi,issue si bei tunaangalia zaidi technical factors
 
Kwa mfano,nikukuomba actual head ni meter ngapi,hizo panel ulizo nazo zina Open Circuit Voltage(VoC) kiasi gani,Short Circuit Current(Isc) ngapi,hivi vitu vinatusaidia sisi designers kuweza kujua hiyo pump ni size gani kulingana na Modules ulizonazo bei ni hatua ya mwisho mkuu, na hapa ndio sehemu kubwa wateja wetu mnakosea,i hope you understand the concept
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…