Labda kama Umepandisha Uzi Huo Kwa Nia mbayaKuna vitu vingi vya kuangalia Brother ili kuweza kujua hiyo pump ni ya ukubwa gani ndio maana nimeomba kuwasiliana zaidi,issue si bei tunaangalia zaidi technical factors
Ni Mwanza mkuu karibu sanaHapo ni Dar au Mwanza? Geita napataje inayoweza kuusukuma maji mita 400?
Next week nitakuwa hapo Mwanza, nitakucheckNi Mwanza mkuu karibu sana
Kama una matenki la lita elfu 10 na unaitaji kutumia maji wakati wa mchana tu kuna haja ya kufunga betri ?Ni Mwanza mkuu karibu sana